This post has been de-listed

It is no longer included in search results and normal feeds (front page, hot posts, subreddit posts, etc). It remains visible only via the author's post history.

10
Where can I learn swahili words without english influence
Post Body

habari kila mtu, naitwa bidinga nimetoka Kongo-Kinshasa (kabila yangu ni Bafuliiru) na Cameroon, lakini nilizaliwa Marekani, sijui aina nini ya Kiswahili naongea, kwa sababu najifundisha swahili mtandaoni, napata maneno kwa watu nyingi au vyanzo, yaani Duolingo, Youtube, Reddit, baba yangu (anaongea swahili (congo lahaja), na wanafunzi hivyo hudhuria chuo kikuu yangu (wanatoka tanzania, kenya (sipendi sheng naomba kujifunza kiswahili safi), uganda, etc.). Mambo moja hivyo inanihusu ni baadi ya maneno, kuwa na Kiingereza ushawishi, yaani wiki, sayansi, etc. nawezi wapi kujifunza swahili "safi" maneno, kwa sababu jana niliongea na baba yangu na nilisema "wiki" na alisema hivyo si nzuri, alisema "week" katika swahili ni "jumaa/juma" (sijui tahajia), asante sana, Please give me any corrections I had to search up some words I didn't know on google translate and I know my grammer and ngeli arent the best so please offer corrections I won't take it as rude, I love to learn. Thank you all and God bless

Author
Account Strength
90%
Account Age
7 years
Verified Email
Yes
Verified Flair
No
Total Karma
3,892
Link Karma
2,660
Comment Karma
1,187
Profile updated: 2 days ago
Posts updated: 5 months ago

Subreddit

Post Details

We try to extract some basic information from the post title. This is not always successful or accurate, please use your best judgement and compare these values to the post title and body for confirmation.
Posted
7 months ago